Posts

Showing posts from July, 2014

DIAMOND PLATNUMZ KATIKA SHOW ZA NJE

Image
Mwanamuziki Maarufu wa Kitanzania Abdul Naseeb 'Diamond Platnumz" anatarajiwa kupiga show nne nchini CANADA Pamoja na wasanii wengine wakubwa....

HOLLYWOOD FRESH - DON'T MISS.

Image
HOLLYWOOD FRESH - DON'T MISS. DATE: 01/08/2014, TIME: 8:30 PM till late, VENUE: MLIMANI CONFERENCE CENTER DAMAGE: 30,000/=, DRESS CODE: SMART For table reservation  call: 0787 431 031/ 0655 684 948 Clouds Media Presenter and Brand Manager Ms. Louissa Babbie Kabae, who will participate in the U.S. Department of State sponsored U.S. Commitment to Africa Reporting Tour

Welcome to Langoyo Graphics Company

Image
  Some of our service we offer We do also these... Wheelcover printing complete for 35 000/=@1 We also do - Graphics Design - Bag Printing - Largformat Printing - Mass Printing - 3D Signs - Website Designing - Company Branding +255 767 036654

Diamond Platnumz Anatarajia kuwepo kwenye show ,Germany

Image
Mwanamuziki  Diamond Platnumz antarajia kuwepo kwenye show Ujerumani tarehe 30 August 2014 , kufanya show kali na ya kuvutia.....Germany stay Tuned....!!!

Pata Mitumba Grade One Kutoka Canada

Image
Mwezi mtukufu wa Ramadhan, umebakiza takribani majuma mawili tu. Kwa maana hiyo, maandalizi ya sikukuu ya Eid-El-Fitri tayari yameshaanza. Eid huwa ni wakati wa furaha na mara nyingi huenda sambamba na kujumuika na ndugu,jamaa na marafiki kufurahi na kutukuza yale yote aliyotujalia Mwenyezi Mungu. * * Palipo na mkusanyiko wa watu, huwa pia pana "mtoko". Kila binadamu hupenda kupendeza. Wenzetu wa jinsia ya kike,hupenda sio tu kupendeza bali pia kusifiwa kwamba "wamependeza". Kupendeza, kwa bahati mbaya, hakutokei kama ajali.

MWL. MWAKASEGE at CITE SUMMER CONFERENCE 2014, IN UK

Image
Mwl.Christopher Mwakasege anatarajia kuwepo kwenye Semina ya Neno la Mungu kuanzia Sep 26 Hadi 28 mwaka 2014 Huko Uingereza.

VUNJA MBAVU NA KANSIIME KUTOKA UGANDA

Image
  Kansiime anatarajia kuja Bongo kutoa show kali ya Kuchekesha katika hotel ya Golden Tulip Jijini Dar Es Salaam. Kansiime atakuwa sambamba na wachekeshaji kutoka Kenya, Fred Omondi na MC Pili Pili kutoka Tanzania.