BENKI YA CRDB YAKABIDHI HUNDI YA SH. MILIONI 20 KWA MEYA WA KINONDONI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akisaini kitabu cha wageni alipowasili ofisini kwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda, (katikati). Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Mwambapa. Meya wa Manispaaya Kinondoni, Yusuf Mwenda (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei muda mufupi kabla hajakabidhi hundi ya sh. milioni 20 baada ya meya huyo kupata tuzo ya Meya Bora Afrika iliyotolewa na Rais Jose Eduardo do Santos wa Angola. Meya wa Manispaaya Kinondoni, Yusuf Mwenda (kushoto) akiambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei. Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Mwambapa akizungumza katika hafla hiyo. Meya wa Kinondoni, Yusuf Mwenda akiwa na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Mussa Natty. Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya kukabidhi hundi. Mkurugenzi Mtendaji wa