Posts

Showing posts from September, 2017

SERIKALI YAIPONGEZA COSTECH-OFAB KWA KUANDAA TUZO ZA WAANDISHI WA HABARI ZA SAYANSI 2017

Image
Mwandishi wa Habari wa gazeti la Guardian, Gerald Kitabu akipeana mkono na Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia , Profesa Joyce Ndalichako baada ya kukabidhiwa tuzo ya mshindi wa kwanza kwenye kuandika na kuelimisha umma kuhusu matumizi ya sayansi, Teknolojia na ubunifu hususani Bioteknolojia katika kuendeleza kilimo katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Dk. Hassan Mshinda Washindi wa tuzo hizi wakisubiri kutangazwa. Wageni waalikwa wakiwa kwenye hafla hiyo. Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Jim Yonaz akitoa hutuba katika hafla hiyo. Mratibu wa Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania (OFAB), Philbert Nyindondi akielezea tuzo hizo Mkurugenzi Mkuu wa COTECH, Dk.Hassan Mshinda akizungumzia tuzo hizo Waziri Ndalichako akihutubia katika hafla hiyo. Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Dk.Ayoub Rioba akizungumza kwenye h

FAINALI YA BAHATI NASIBU YA SHINDA NYUMBA YA GLOBAL PUBLISHERS - MSOMAJI KUTOKA DODOMA AIBUKA MSHINDI WA NYUMBA

Image
Diwani ya Kata ya Mabibo (aliyefungwa kitambaa machoni), akipelekwa na MC wa shughuli hiyo, Chaku kwenda kuchagua kuponi ya ushindi. Mheshimiwa diwani akiwa kwenye rundo la kuponi Mheshimiwa diwani akichanganya kuponi. Kazi ya kuchanganya kuponi ikiendelea. Mheshimiwa diwani akiwa ameshika kuponi ya ushindi, iliyotoka Gazeti la Championi. Mheshimiwa diwani akiwa ameiinua kuponi juu. Diwani Lema akisoma jina la mshindi wa nyumba, aliyemshikia kipaza sauti ni MC Chaku. Meneja wa Global Publishers, Abdallah Mrisho akizungumza kwenye droo hiyo kubwa ya Shinda Nyumba. Meneja Mrisho akipeana mikono na Diwani Lema Diwani Lema akizungumza na watu waliofika kushuhudia droo hiyo. Msomaji akichagua kuponi ya mshindi wa zawadi ya dinner set. Msomaji akichagua kuponi ya mshindi wa zawadi ya dinner set. Mhariri wa Uwazi, Elvan Stambuli (kulia) akiwa na mhariri mwenzake, Sifael Paul anayesimamia Gazeti la Ijumaa Wikienda. Abdallah Hemed (kushoto), afisa kutoka bodi ya michezo ya kuba

MKAZI WA YOMBO VITUKA REBECCA AMOS AJISHINDIA KITITA CHA MILIONI 60 ZA TATU MZUKA

Image
Meneja Mawasiliano wa Tatu Mzuka Sebastian Maganga akizungumza mapema leo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu namna mchezo huu wa Tatu Mzuka unavyobadili maisha ya watu,huku akimtaja Rebecca Amos (pichani kulia),mkazi wa Yombo Vituka aliyejishindia kitita cha shilingi milio 60,picha shoto ni rafiki wa mshindi wa Tatu Mzuka kwa wiki hii,Agness Swai Maganga alisema kuwa Droo inayofanyika mara moja katika Juma si aina pekee ya kupata washindi katika mchezo huu, kwa kuwa kila mtu anapocheza Tatu Mzuka anapata pia nafasi ya kushinda mara 200 ya kiasi alichotumia kucheza kila saa. Droo hizi za kila saa kwa sasa zinatoa washindi ambao wanapata hadi kiasi cha shilingi milioni 300,000 katika Juma, kwa washindi mbalimbali nchini Tanzania.” Rebecca Amos (pichani kulia),mkazi wa Yombo Vituka aliyejishindia kitita cha shilingi milio 60 za Tatu Mzuka,akitoa ushuhuda wake kuhusiana na mchezo huo na hatimaye nae kuibuka mshindi wa mamilioni.Rebecca amewaasa watu wengine kuchez

FCS YAWEZESHA AZAKI ZA ZANZIBAR KUFANYA MAFUNZO YA UTETEZI MOROGORO

Image
Meneja wa Kitengo cha Kujenga Uwezo kutoka Foundation for Civil Society, Edna Chilimo, akizungumza wakati wa mafunzo kwa Wana Asasi za Kiraia kutoka Visiwa vya Zanzibar yaliyofanyika katika ukumbi wa New Savoy mjini Morogoro. Makundi washiriki wa mafunzo hayo ni Azaki kutoka Zanzibar na Pemba ambapo wanashiriki mafunzo ya Utetezi na Ushawishi wa Sera kutoka kwa mashirika ya MVIWATA (Muungano wa Vyama vya Wakulima Wadogo Tanzania) na MPLC (Morogoro Para-Legal Center). Mashirika haya mawili yamebobea katika Ushawishi na Utetezi wa haki za kumiliki ardhi kwa makundi mbalimbali mkoani Morogoro. Picha zote na Muhidin Sufiani (MAFOTO). Mshauri Mwelekezi wa Mradi wa Sera kutoka The Foundation for Civil Society Zanzibar, Salma Maulidi, akiendesha mafunzo hayo ndani ya ukumbi wa New savoy Morogoro. Mkulima Mwezeshaji wa Mtandao wa Vikundi vya Wakulima Tanzania MVIWATA Morogoro, Marcelina Kibena akiendesha mafunzo kwa washiri kutoka asasi za Kiraia za Visiwani Zanzibar yaliyofanyika