ANGALIA HAPA, FAIDA ZA MBEGU ZA MABOGA






FAIDA ZAKE KIAFYA NI:-

1. Zina madini ya aina zote zinazohitajika mwilini kama zinc, chuma, calcium, phosphorous, manganeze, magnesium na kopa.

2. Husaidia uzalishaji wa maziwa kwa wingi kwa kina mama wanaonyonyesha.

3. Husaidia kurekebisha sukari mwilini na kuwezesha kongosho kufanya kazi yake vizuri.

4. Huimarisha mfumo wa uzazi kwa wanaume na wanawake kutokana na zinc omega 3 na omega 6.

5. Huondoa sumu mbalimbali mwilini na hasa kwenye figo na kibofu cha mkojo pia huondoa madhara ya pombe kiafya .

6. Ni chakula bora kwa wajawazito (mlo kamili)

7. Husaidia kuondoa shinikizo la damu.

8. Ni chanzo kizuri cha vitamini A, B, E na K.

9. Ni kinga dhidi ya kansa ya kizazi kwa wanaume na wanawake.

10. Huboresha akili na kumbukumbu kwa watoto na watu wazima ( kazi ya zinc na omega 3 Fatty).

11. Husaidia kutibu matatizo ya viungo vya mwili miguu, mgongo, shingo, kutokana na wingi wa madini zilizomo kwenye mbegu hizo.

12. Husaidia  kuondokana na matatizo ya unene unaotokana na wingi wa mafuta ( cholestrol) mwilini.

13. Ni kinga na tiba kwa matatizo ya ini, moyo na figo

14. Husaidia kuondoa matatizo ya macho kutokana na wingi wa vitamini A na madini.



· Kula mbegu za maboga, kwa afya ya akili (ubongo) na mwili.



Tunapatikana kwa simu namba 0767 - 539 728



Kwa ushauri na upatikanaji wa mbegu



Mbegu zinapatikana Sakina Supermarket



KARIBU SANA

No comments:

Post a Comment

Pages