Let's Talk Business / Tuongee Biashara Pekee.

Habari Mpya

Post Top Ad

Your Ad Spot

Sunday, July 03, 2016

PPF YAENDELEA KUNG'ARA MAONESHO YA 40 YA BIASHARA YA KIMATAIFA YA DAR ES SALAAM - SABASABA

 Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Sostenes Lyimo, akitoa maelezo kwa Mkurugenzi  Mkuu wa NSSF, Prof. Godious Kahyarara, na wasaidizi wake wakati walipotembelea katika Banda la Maonesho la Mfuko huo kwenye Viwanja vya  Sabasaba jana. Picha na Mafoto Blog
Afisa Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Janeth  Ezekiel,  akizungumza na mwananchi aliyefika kwenye Banda lao la Maonesho katika Viwanja vya Sabasaba wakati akimwelekeza jambo kuhusu mafao ya Mfuko huo. 
 Afisa Mwandamizi na Uwekezaji wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Anna Shayo, akimfafanulia jambo mmoja kati ya wananchi waliofika katika Banda la Mfuko huo katika Maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba)  jijini Dar es Salaam.
 Mwananchi akitoa maoni yake katika mashine maalum  baada ya kupata huduma kwenye Banda la Maonesho la Mfuko wa Pensheni wa PPF,  Maonesho ya KImataifa ya Biashara yanayoendelea  Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

 Afisa Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mwajuma Msina, akimkabidhi Kitambulisho Mwanachama Mohamed Hassan (23) aliyejiunga na huduma ya ‘Wote Scheme’ wakati alipotembelea kwenye Banda la Maonesho la Mfuko huo katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam. KWA PICHA ZAIDI BOFYA READ MORE
 Meneja Uhusiano wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele,  akimuongoza Mkurugenzi Mkuu wa PPF William Erio (kulia) na Mkurugenzi Mkuu wa NSSF, Prof. Godious Kahyarara (katikati) walipokuwa wakitembelea Banda la Mfuko huo kwenye maonesho ya Biashara ya Kimataifa viwanja vya Sabsaba.
 Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Saluna Aziz Ally (kulia) na Glory Maboya, wakiendelea kutoa huduma kwa wateja wao waliofika katika Banda la maonesho Sabasaba la mfuko huo.
 Sehemu ya Wananchi wakiwa ndani ya Banda la PPF wakipata huduma na maelezo kuhusu namna ya kujiunga na mfuko huo na jinsi wanachama wanavyoweza kufaidika kupitia michango yao.
Afisa Michango  wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Glory Maboya, akimkabidhi Kitambulisho Mwanachama Hussein Nuru  (25) aliyejiunga na huduma ya ‘Wote Scheme’ wakati alipotembelea kwenye Banda la Maonesho la Mfuko huo katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya Wananchi wakiwa ndani ya Banda la PPF wakipata huduma na maelezo kuhusu namna ya kujiunga na mfuko huo na jinsi wanachama wanavyoweza kufaidika kupitia michango yao.
 Baadhi ya Wananchi wakijaza Fomu za kujiunga na huduma ya Wote Scheme baada ya kupata maelezo ya kutosha nay a kuridhisha kuhusu huduma hiyo, wakati walipotembelea banda ya PPF.

 Meneja Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa PPF Elihuruma Mgoi, akimkabidhi Kitambulisho Mwanachama Mussa Mzobora (44) aliyejiunga na huduma ya ‘Wote Scheme’ wakati alipotembelea kwenye Banda la Maonesho la Mfuko huo katika Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
 Afisa Uendeshaji wa PPF Pauline Msanga, akitoa huduma......
 Sehemu ya Wananchi wakiwa ndani ya Banda la PPF wakipata huduma na maelezo kuhusu namna ya kujiunga na mfuko huo na jinsi wanachama wanavyoweza kufaidika kupitia michango yao.
 Sehemu ya Wananchi wakiwa ndani ya Banda la PPF wakipata huduma na maelezo kuhusu namna ya kujiunga na mfuko huo na jinsi wanachama wanavyoweza kufaidika kupitia michango yao.
 Sehemu ya Wananchi wakiwa ndani ya Banda la PPF wakipata huduma na maelezo kuhusu namna ya kujiunga na mfuko huo na jinsi wanachama wanavyoweza kufaidika kupitia michango yao.
Afisa Msaidizi wa Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Mohamed Siaga akifurahia huku kionyesha  tuzo walizokabidhiwa.
 Baadhi ya wafanyakazi wa PPF wakiwa na furaha baada ya kukabidhiwa kikombe chao
 Mkurugenzi Mkuu wa PPF, William Erio, akihojiwa na Waandhi wa habari baada ya Mfuko wake kukabidhiwa Kikombe cha ushindi wa kwanza wa Kundi la Mifuko ya Hifadhi ya jamii na Makampuni ya Bima katika Maonesho ya 40 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba.
Picha ya pamoja......

Post Top Ad

Your Ad Spot