Keki ya Kuadhimisha Wiki ya Huduma kwa wateja ya benki ya CRDB tawi la Water Front.

Mkurugenzi
 wa Benki ya CRDB tawi la Water Front, Donath Shirima (Kulia) 
akizungumza na kuwashukuru wateja wa Benki ya CRDB tawi la Water Front 
kwa kuwa wateja wao wa kudumu kwa kipindi chote.
Meneja
 Biashara wa Benki ya CRDB tawi la Water Front jijini Dar es Salaam, 
Adam Akaro (katikati) akizungumza na wateja pamoja na kuwaribisha katika
 hafla fupi ya kudhimisha wiki ya Huduma kwa wateja katika tawi lao 
jijini Dar es Salaam leo.

Meneja
 wa huduma kwa wateja wa Benki ya CRDB tawi la Water Front, Mary Ngowi 
akiwakaribisha wateja wa tawi hilo kwaajili ya kukata keki na kula 
pamoja na wateja wa tai hilo jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
 wa Nemarty Limited, Neema Lyimo akikata keki kwa niaba ya wateja wa 
tawi la Benki ya CRDB tawi la Water Front wakati wa kuadhimisha wiki ya 
huduma kwa wateja katika tawi la Water Front jijini Dar es Salaam leo.
Meneja wa huduma kwa wateja wa Benki ya CRDB tawi la Water Front, Mary Ngowi akisaidiana na Mkurugenzi
 wa Nemarty Limited, Neema Lyimo  kukata keki wakati wa kuadhimisha wiki
 ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam leo.
.
Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front, Donath Shirima akimlisha keki Mkurugenzi wa Nemarty Limited, Neema Lyimo.
Mkurugenzi wa Nemarty Limited, Neema Lyimo akimlisha  keki Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front, Donath Shirima jijini Dar es Salaam leo.
Meneja wa huduma kwa wateja wa Benki ya CRDB tawi la Water Front, Mary Ngowi akimlisha keki Mkurugenzi wa Nemarty Limited, Neema Lyimo wakati wa kudhimisha wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi
 wa Nemarty Limited, Neema Lyimo akiwalisha keki wateja wa benki ya CRDB
 tawi la Water front jijini Dar es Salaam leo wakatiwa kuadhimisha wiki 
ya huduma kwa wateja.
Mkurugenzi
 wa Nemarty Limited, Neema Lyimo akialisha keki wafanyakazi wa benki ya 
CRDB tawi la Water Front jijini Dar es Salaam leo wakati wa kuadhimishi 
wiki ya hudma kwa wateja jijini Dar es Salaam leo.
Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water Front wakiwa katika picha ya pamoja jijini Dar es Salaam leo.
 Mkurugenzi wa Nemarty Limited, Neema Lyimo akikabidhiwa zawadi na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front, Donath Shirima wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam leo katika benki ya CRDB tawi la Water Front.
Mkurugenzi wa Nemarty Limited, Neema Lyimo akikabidhiwa zawadi na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front, Donath Shirima wakati wa kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja jijini Dar es Salaam leo katika benki ya CRDB tawi la Water Front. 
Mkurugenzi wa Nemarty Limited, Neema Lyimo katikati akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front, Donath Shirima(Kulia) wapili kulia ni Meneja
 wa huduma kwa wateja wa Benki ya CRDB tawi la Water Front, Mary Ngowi 
na mmoja ya wafanyakazi wa tawi hilo, Batseba Mwakalobo mara baada ya 
kukabidhiwa zawadi jijini Dar es Salaam leo wataki wa kuadhimisha wiki 
ya huduma kwa wateja katika tawi la Water Front.
 Baadhi ya zawadi za wateja.
Picha ya Pamoja ya wafanyakazi wa Benki ya CRDB tawi la Water Front jijini Dar es Salaam leo. 
 
0 Comments