WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA



Wakazi wa jijini Dar es Salaam waliotembelea Banda la Jeshi la Magereza, wakiangalia nafaka mbalimbali zinazolimwa katika mashamba ya Magereza nchini kwenye Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


Askari wa Jeshi la Magereza, Happy Kweka, akiwaonyesha vitambaa vinavyotengenezwa na jeshi hilo wakazi waliotembelea Banda la jeshi hilo katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.

Wakazi wa jijini Dar es Salaam waliotembelea Banda la Jeshi la Magereza, wakiangalia vikapu vinavyotengenezwa katika viwanda vya ufumaji vya Magereza nchini kwenye Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.Kulia ni askari wa jeshi hilo,Issah Ramadhan

Askari wa Jeshi la Magereza, Stesheni Sajenti, Elizei Naje aliyepo sehemu ya mapokezi katika Banda la jeshi hilo akiwa amekaa kwenye moja ya samani (meza na viti) ambavyo hutengenezwa katika viwanda vya jeshi hilo katika Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Samani zinazopatikana katika Banda la Jeshi la Magereza kwenye Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya Samani zinazopatikana katika Banda la Jeshi la Magereza kwenye Maonesho ya 41 ya Biashara ya Kimataifa, yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere,Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya NchiIMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI-WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

Post a Comment

Pages