BENKI YA CRDB YATANUA MTANDAO WA MATAWI YAKE






Muonekano wa jengo jipya la Benki ya CRDB tawi la Mlandizi mkoani Pwani.

Baadhi ya wateja wa benki ya CRDB tawi la Mlandizi wakipata huduma za kifedha katika tawi hilo.

Meneja wa Tawi jipya la Benki ya CRDB la Mlandizi mkoani Pwani, Twahibu Likungwala (kushoto), akitoa maelezo kwa mteja wa benki hiyo aliyefika tawini hapo jana namna anavyoweza kunufaika na akaunti maalum ya Wanawake (Malkia Akaunti).

Ufafanuzi kuhusu huduma za Kifedha katika Tawi la Mlandizi.

Mteja wa Benki ya CRDB akipata ufafanuzi wa huduma mbalimbali zinazotolewa na benki hiyo kutoka kwa Meneja wa Tawi jipya la Benki ya CRDB la Mlandizi mkoani Pwani, Twahibu Likungwalakwa (kulia).
Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Cassian Nombo (katikati), akimuhudumia mmoja wa wateja waliofika katika tawi la Benki ya CRDB la Mlandizi mkoani Pwani kupata huduma za kifedha.

Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Getrud Mwani akimfungulia akaunti mpya mteja wa Benki ya CRDB katika tawi linalotembea la benki hiyo (Mobile Branch), kwa wakazi wa Mlandizi mkoani Pwani.
Huduma zikiendelea.

Ofisa wa Benki ya CRDB, Husna Seif (kulia), akimwandikisha mkazi wa Mlandizi alipofika katika tawi linalotembea la benki hiyo Mlandizi mkoani Pwani.

Wateja wa Benki ya CRDB wakiwa wamejitokeza katika gari maalum kufungua akaunti ya benki hiyo.
Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Vicent Lulenga (kushoto), akimfungulia akaunti mteja mpya wa benki hiyo katika tawi linalotembea (Mobile Branch), Kibaha mkoani Pwani.
Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Rehema Issa (kushoto), akimfungulia akaunti mpya mteja wa benki hiyo Kibaha mkoani Pwani.

Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Vicent Lulenga (kushoto), akimuunganisha na huduma ya SimBanking mteja mpya aliyefungua akaunti ya benki hiyo mjini Kibaha.

Ofisa wa Benki ya CRDB, Omary Kilima akimpa maelekezo mteja wa benki hiyo kabla ya kufungua akaunti.

Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Rehema Issa (kushoto), akimfungulia akaunti mpya mteja wa benki hiyo Kibaha mkoani Pwani.

Wateja wakipata huduma katika Benki ya CRDB tawi la Kibamba.

Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Kibamba, Anitha Mafumiko.

Tawi la Benki ya CRDB-Kibamba.

Post a Comment

0 Comments