VUNJA MBAVU NA KANSIIME KUTOKA UGANDA

 
Kansiime anatarajia kuja Bongo kutoa show kali ya Kuchekesha katika hotel ya Golden Tulip Jijini Dar Es Salaam. Kansiime atakuwa sambamba na wachekeshaji kutoka Kenya, Fred Omondi na MC Pili Pili kutoka Tanzania.

No comments:

Post a Comment

Pages