Let's Talk Business / Tuongee Biashara Pekee.

Habari Mpya

Post Top Ad

Your Ad Spot

Friday, November 21, 2014

Uzinduzi wa Album ya pili ya ONE THE INCREDIBLE “R.A.P” (Representing Africa Popote)


1
One The Incredible A.K.A Moko Wa Miujiza, Msanii wa Hip Hop Tanzania anayeiwakilisha Label ya Tamadunimuzik, ameweka picha zinazoashiria Uzinduzi wa Album yake ya pili ya R.A.P (Representing Africa Popote) Kupitia mtadao wake wa Instagram jana usiku.
One Anaendelea Kueleza kuwa album hiyo ilitakiwa itoke mapema ila kutokana na kubadilisha mfumo wake wa usimamizi wa kazi, aliamua kuichelewesha.
“Nimepata management mpya, ikabidi nianze upya kupanga strategy ya uzinduzi na maandalizi ilibidi tuanze kupanga upya. So ilinilazimu kuisukuma hii project mbele.”
One ameendelea kusema kuwa album hii itazinduliwa viwanja vya Posta Kijitonyama, na itakuwa ni Show ya kwanza kubwa ya Hip Hop. Kiukweli kabisa hii itakuwa event ya kipekee.
Miziki mingine ya One The Incredible Inapatika hapa…
Mdundo – www.mdundo.com/a/2019 
Mkito – www.mkito.com/artist-profile/one-the-incredible/339
airtelmoney mpesa Tigopesa

Post Top Ad

Your Ad Spot