Mpango
mzima wa 'Harakati za Valentine ndani ya Villa Park Mwanza, utakao anza
rasmi Alhamisi ya tarehe 12/02/2015 ambapo Mfalme Mzee Yusufu na Bendi
yake ya Jahazi Mordern Taarab kuhusika, kiingilio ni shilingi 10,000/= Kisha Jumamosi ya tarehe 14/02/2015 Valentines Day bendi ya Super Kamanyola kutambulisha safu ya waimbaji wake wapya, Kiingilio Sebuleni Tshs 5,000/= na Tshs10,000/= utazama hadi Disco ambako kutakuwa na mpambano wa Ma-Dj NANI MKALI KATI YA DJ TASS (MAGIC FM) V/s DJ EDDY (RFA) |
0 Comments