Wanawake Wafanyakazi wa Tanga Cement Walivyosherehekea Siku ya Wanawake Duniani mjini Tanga


 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Tanga Cement Plc, Reinhardt Swart (kushoto) akimpa zawadi mhandisi mwanamke kijana katika kampuni hiyo, Irene Lema  katika hafla iliyoandaliwa na wafanyakazi wanawake wa Tanga Cement  kusheherekea siku ya wanawake duniani mjini Tanga.
 Kaimu Ofisa Fedha Mkuu wa Kampuni ya Saruji Tanga, Unguu Sulay (kulia) akimpa zawadi mfanyakazi mwanamke hodari na mwenye mfano wa kuigwa wa kampuni hiyo, Rosemary Kashaga  Juma katika hafla iliyoandaliwa na
wafanyakazi wanawake wa Tanga Cement  kusheherekea siku ya wanawake duniani mjini Tanga.
 Meneja Kiwanda wa Kampuni ya Saruji Tanga, Mhandisi Ben Lema (kulia) akimpa zawadi mfanyakazi mwanamke aliyefanyakazi katika kampuni hiyo kwa kipindi kirefu, Mwanahawa Juma katika hafla iliyoandaliwa na
wafanyakazi wanawake hao kusheherekea siku ya wanawake duniani mjini Tanga.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni Tanga Cement Plc, Reinhardt Swart (kushoto) akiwa zawadi baadhi ya wasambazaji wa saruji wanawake walioalikwa katika hafla hiyo kwa kutambua mchango wao katika maendeleo ya kampuni.
 Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga, Diana Malambugi (kushoto), akikabidhi zawadi  Sophia Kapama ambaye ni mfanyakazi mwanamke pekee wa kampuni hiyo  anayeendesha mashine nzito katika hafla
iliyoandaliwa na wafanyakazi wanawake hao kusheherekea siku ya wanawake duniani mjini Tanga.
 Baadhi ya wafanyakazi wanawake wakicheza ‘kwaito’ wakati wa sherehe hiyo mjini Tanga juzi.
 Baadhi ya wafanyakazi wanawake wakipiga picha ya kumbukumbu pamoja na baadhi ya viongozi waandamizi wa kampuni hiyo wakati wa hafla hiyo kuadhimisha siku ya wanawake duniani mjini Tanga juzi.
 Baadhi ya washiriki katika hafla hiyo.
Kaimu Ofisa Fedha Mkuu wa Kampuni ya Saruji Tanga, Unguu Sulay (katikati) akiselebuka wakati wa  hafla iliyoandaliwa na wafanyakazi wanawake wa Tanga Cement  kusheherekea siku ya wanawake duniani mjini
Tanga juzi.
Meneja Mawasiliano na Huduma za Jamii wa Tanga Cement, Bi. Mtanga Noor akizungumza katika sherehe hizo mjini humo kuadhimisha siku ya wanawake duniani iliyoandaliwa na wafanyakazi wanawake wa kampuni hiyo.

Post a Comment

0 Comments