Picha
ya baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika banda lao kabla ya Maadhimisho
ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria Duniani viwanja vya Farasi Dar es
Salaam juzi Oysterbay.
Matembezi
Matembezi
Matembezi
Matembezi barabara ya Coco Beach
Matembezi
Baadhi
ya washiriki wakipata vinywaji katika moja ya kituo kilicho andaliwa
eneo la Morogoro Stoo eneo la Oysterbay wakati walipokua katika
matembezi hayo yaliyoanzia viwanja vya Farasi
Baadhi
ya wafanyakazi wa Kiwanda cha Bia Dar es Salaa Tanzani wakifuatilia
jambo wakati Balozi wa Malaria Tenga alipokuwa akizungumza na washiriki
mbalimbali baada ya matembezi hayo katika Maadhimisho ya kutokomeza
ugonjwa wa Malaria Duniani yaliyofanyika Dar es Salaam juzi
Picha
ya baadhi ya wafanyakazi wakiwa katika banda lao wakitowa huduma kwa
washiriki kwenye Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria Duniani
viwanja vya Farasi Dar es Salaam juzi
Balozi wa Kampeni ya Malaria wa Tanzania na aliye kuwa Rais wa
Shilikisho la Mpira TFF Tenga akizungumza na washiriki mbalimbali baada
ya matembezi hayo ya Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria
Duniani viwanja vya Farasi Dar es Salaam juzi
Balozi wa Kampeni ya Malaria wa Tanzania na aliye kuwa Rais wa
Shilikisho la Mpira TFF Tenga (wanne kushoto) katika picha ya pamoja na
wafanyakazi mbalimbali wa kiwanda cha Bia Dar es Salaam Tanzania
katika Maadhimisho ya Kutokomeza Ugonjwa wa Malaria viwanja vya Farasi
Dar es Salaam juzi
No comments:
Post a Comment