Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Waziri
Kindamba akizungumza na wateja wa kampuni ya TTCL kwenye hafla ya kilele
cha Wiki ya Huduma kwa wateja wa TTCL, 2016 iliyofanyika ndani ya Banda
la Maonesho ya Biashara la kampuni hiyo lililopo Viwanja vya Mwalimu
Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam.Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Waziri
Kindamba ( wa kwanza kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya
wafanyakazi wa kampuni hiyo na wateja kwenye hafla ya kilele cha Wiki ya
Huduma kwa wateja wa TTCL, 2016 iliyofanyika ndani ya Banda la Maonesho
ya Biashara la kampuni hiyo lililopo Viwanja vya Mwalimu Julias
Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Waziri Kindamba (kushoto) akimsikiliza mmoja wa wateja wakampuni
ya TTCL mwenye asili ya China juzi kwenye hafla ya kilele cha Wiki ya
Huduma kwa wateja wa TTCL, 2016 iliyofanyika ndani yaBanda la Maonesho ya Biashara la kampuni hiyo lililopo Viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam. Afisa
Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Mawasiliano Tanzania (TTCL),
Peter Ngota akizungumza na wateja wa kampuni ya TTCL kwenye hafla ya
kilele cha Wiki ya Huduma kwa wateja wa TTCL, 2016 iliyofanyika ndani ya
Banda la Maonesho ya Biashara la kampuni hiyo lililopo Viwanja vya
Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Waziri
Kindamba (kulia) akimkabidhi mmoja wa wafanyakazi wakampuni
ya TTCL aliyefanya vizuri katika kutoa huduma kwa wateja. Zoezi hilo
lilifanyika juzi kwenye hafla ya hitimisho la kilele cha Wikiya Huduma kwa wateja wa TTCL, 2016 zilizofanyika ndani ya Banda la Maonesho ya Biashara la kampuni hiyo lililopo Viwanja vyaMwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Waziri
Kindamba (kulia) akimkabidhi mmoja wa wafanyakazi wakampuni
ya TTCL aliyefanya vizuri katika kutoa huduma kwa wateja. Zoezi hilo
lilifanyika juzi kwenye hafla ya hitimisho la kilele cha Wikiya
Huduma kwa wateja wa TTCL, 2016 zilizofanyika ndani ya Banda la Maonesho
ya Biashara la kampuni hiyo lililopo Viwanja vya Mwalimu Julias
Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam. Afisa
Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Mawasiliano Tanzania (TTCL),
Peter Ngota (wa pili kulia) akijumuika na baadhi ya wateja na
wafanyakazi wa kampuni ya TTCL kwenye hafla ya kilele cha Wiki ya Huduma
kwa wateja wa TTCL, 2016 iliyofanyika ndani ya Banda la Maonesho ya
Biashara la kampuni hiyo lililopo Viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere,
Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Waziri
Kindamba (kulia) akibadilishana mawazo na baadhi ya wafanyakazi na
viongozi wa kampuni hiyo na wateja kwenye hafla ya kilele cha Wiki ya
Huduma kwa wateja wa TTCL, 2016 iliyofanyika ndani ya Banda la Maonesho
ya Biashara la kampuni hiyo lililopo Viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere,
Sabasaba jijini Dar es Salaam. Afisa
Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Mawasiliano Tanzania (TTCL),
Peter Ngota (kulia) akibadilishana mawazo na mmoja wa wateja wa kampuni
ya TTCL mwenye asili ya China juzi kwenye hafla ya kilele cha Wiki ya
Huduma kwa wateja wa TTCL, 2016 iliyofanyika ndani ya Banda la Maonesho
ya Biashara la kampuni hiyo lililopo Viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere,
Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Waziri
Kindamba ( wa tatu kushoto) akibadilishana mawazo na baadhi ya
wafanyakazi na viongozi wa kampuni hiyo na wateja kwenye hafla ya kilele
cha Wiki ya Huduma kwa wateja wa TTCL, 2016 iliyofanyika ndani ya Banda
la Maonesho ya Biashara la kampuni hiyo lililopo Viwanja vya Mwalimu
Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Na
Mwandishi Wetu KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) imesema itaendelea na
utekelezaji wa kuboresha miundombinu ya mtandao wake wa simu za mezani,
mkononi pamoja na huduma za data ili kutoa huduma iliyo bora zaidi kwa
wateja wake na kufikia kiwango cha hali ya juu katika kutoa huduma za
Mawasiliano nchini. Kauli hiyo imetolewa mwishoni mwa wiki na Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Waziri Waziri Kindamba alipokuwa
akizungumza na wateja mbalimbali kwenye hafla ya hitimisho la kilele cha
Wiki ya Huduma kwa wateja wa TTCL, 2016 zilizofanyika ndani ya Banda la
Maonesho ya Biashara la kampuni hiyo lililopo Viwanja vya Mwalimu
Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kaimu
Afisa huyo wa TTCL, alisema kuwa maboresho ya miundombinu yanayofanywa
kwa sasa katika shirika hilo yanaliwezesha kukabiliana na changamoto
zilizokuwepo awali na kuwapa wateja weke fursa ya kufurahia huduma mpya
na za zamani zinazotolewa kisasa na kwa umahiri mkubwa hivi sasa.
"Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) inaendelea na utekelezaji wa uboreshaji
wa miundombinu ya mtandao wa simu za mezani, simu za mkononi na huduma
za Data ili tuweze kutoa huduma iliyo bora zaidi kwa wateja wetu na
kufikia kiwango cha hali ya juu katika kutoa huduma za Mawasiliano,"
alisema Waziri Kindamba.
Aidha
alifafanua kuwa TTCL inawaahidi wateja wake na taifa kwa ujumla kwamba
itaendelea kutoa huduma bora, za uhakika na gharama nafuu katika
kutengeneza mazingira mazuri ya kiteknolojia, kwani baada ya mabadiliko
watumishi wake wameazimia kuongeza kasi ya kufanya kazi kwa bidii,
uadilifu, ubunifu na uzalendo wa hali ya juu ili kwenda sambamba na
mahitaji ya sasa na baadaye ya wateja wa sekta ya Mawasiliano. Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Waziri
Kindamba (kulia) akimkabidhi mmoja wa wafanyakazi wakampuni
ya TTCL aliyefanya vizuri katika kutoa huduma kwa wateja. Zoezi hilo
lilifanyika juzi kwenye hafla ya hitimisho la kilele cha Wikiya Huduma kwa wateja wa TTCL, 2016 zilizofanyika ndani ya Banda la Maonesho ya Biashara la kampuni hiyo lililopo Viwanja vyaMwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam. Kaimu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Waziri Waziri
Kindamba (kulia) akimkabidhi mmoja wa wafanyakazi wakampuni
ya TTCL aliyefanya vizuri katika kutoa huduma kwa wateja. Zoezi hilo
lilifanyika juzi kwenye hafla ya hitimisho la kilele cha Wikiya Huduma kwa wateja wa TTCL, 2016 zilizofanyika ndani ya Banda la Maonesho ya Biashara la kampuni hiyo lililopo Viwanja vyaMwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam.
Pamoja
na hayo Kindamba aliwataka wateja hasa taasisi na makampuni mbalimbali
ya nje na ndani ya nchini kukitumia Kituo cha Taifa cha Kutunzia
kumbukumbu (National Internet Data Centre) ambacho Ujenzi wake
umekamilika na kimeanza kufanya kazi hiyo, huku kikiwa cha kisasa na
chenye hadhi ya kimataifa. "...Niwashukuru sana wateja ambao
wameishakubali kuifadhi taarifa zao kwenye Kituo. Nafahamu kwamba
mazungumzo yanaendelea kati yetu na Wateja wengine na ninaamini kuwa
tutakubalina na kufanya kazi pamoja...natoa wito kwa Wateja na Wadau
wote wa ndani na nje ya nchi, tutumie kituo hiki chenye ubora wa
Kimataifa na hadhi ya juu kabisa hapa nchini na eneo zima za Afrika
Mashariki," alisema Kindamba.
Aliongeza
kuwa kwa sasa kampuni ya TTCL imejipanga vyema kufanya kazi kwa
ufanisi, huku ikitekeleza kwa vitendo falsafa ya Serikali ya awamu ya
tano ya Hapa Kazi Tu. TTCL pia imedhamiria kutumia kwa uaminifu mkubwa
rasilimali zilizopo ili iweze kutoa mchango stahiki katika mageuzi
yanayoendelea ya kuifanya Tanzania kupiga hatua kuelekea kuwa Nchi ya
Uchumi wa Viwanda. "Lengo hili la kuifanya Nchi kuwa ya Uchumi wa
Viwanda, litafikiwa kwa uhakika zaidi endapo huduma za Mawasiliano
zitakuwa za uhakika.
TTCL
tupo tayari na tunao uwezo wa kufanikisha lengo hili pasi na shaka
yoyote. Sote tunafahamu nia ya dhati ya Serikali yetu ya awamu ya Tano
chini ya Rais wetu Mpendwa Dkt John Pombe Magufuli. Serikali yetu
inataka kazi kwa vitendo, inataka huduma bora kwa Wananchi," alisisitiza
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Kindamba. Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Nicodemas Thomas Mushi (wa
pili kulia) akipata picha na baadhi ya wageni waalikwa kwenye hafla ya
kilele cha Wiki ya Huduma kwa wateja wa TTCL, 2016 iliyofanyika ndani ya
Banda la Maonesho ya Biashara la kampuni hiyo lililopo Viwanja vya
Mwalimu Julias Nyerere, Sabasaba jijini Dar es Salaam. Wa pili kushoto
ni Ofisa Uhusiano wa TTCL, Edwin Mashasi.
Post a Comment
0
Comments
Total Pageviews
What our clients say
Arusha Publicity Provides best quality branding services in Strategy and Development, Identity Design, Messaging and Communication, Marketing and Promotion, Measurement and Analysis.
Providing best quality branding services in Strategy and Development, Identity Design, Messaging and Communication, Marketing and Promotion, Measurement and Analysis.
Wazalendo 25
Fashion Blogger
Providing best quality branding services in Strategy and Development, Identity Design, Messaging and Communication, Marketing and Promotion, Measurement and Analysis.
Judy Mwaheleja
Blogger
Providing best quality branding services in Strategy and Development, Identity Design, Messaging and Communication, Marketing and Promotion, Measurement and Analysis.
Khadija Kalili
Entertainment Blogger
Providing best quality branding services in Strategy and Development, Identity Design, Messaging and Communication, Marketing and Promotion, Measurement and Analysis.
0 Comments