MBUNIFU WA MITINDO AMINA PLUMMER ATOA MADA NAMNA YA KUJITAMBUA KWENYE SEMINA YA KUWAWEZESHA WANAWAKE WAJASIRIAMALI


   
Mbunifu na Mmiliki wa Maduka ya Amina Design  Ambaye pia ni   Mentor wa Taasisi ya Manjano Foundation Amina Plummer Akitoa Mada kwenye Semina ya Kuwawezesha  Wanawake Kuwa Wajasiriamali kupitia Vipodoz Vya Luv Touch Manjano Iliyoandaliwa na Manjano Foundation Kwa Lengo la Kuwajengea Udhubutu Wanawake  Kufanya biashara pia namna ya Kujiwekea Akiba na Kutumiza Malengo yao. Taasisi ya Manjano Foundation, ambayo imeanzisha jukwaa kwa ajili ya kuandaa Miradi  ambayo itamuinua mwanamke wa Kitanzania kwa kumwondolea umasikini wa kipato na ambayo itakuwa ni chachu ya kubadili yale yote yaliyoyazunguka maisha yake. Taasisi hii  limekwishazindua mradi wenye kubeba bendera yake, Manjano Dream-Makers, mradi unaokusudia kuzaa kizazi kipya cha wajasiriamali wanawake kwa kutumia kipodozi cha LuvTouch Manjano tu
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd  Mama Shekhar Nasser (Katikati) Akiwa na Mbunifu Amina Plummer (Kushoto ) Pamoja Afisa Mtendaji Mkuu wa Women an Youth  Empowerment Program Kutoka Uganda Dada Remmie Male.
Mbunifu na  Mmiliki wa maduka ya Amina Design Amina Plummer  ni mmoja kati ya Mentors 15 watakao wapa muongozo washiriki 30 wa mradi wa Manjano Foundation. Amina aliwapa somo la kujifahamu kama wajasiriamali chipukizi kuwa wasilimbuke pale ambapo mafanikio yanapo anza kuja. Aliwaeleza kuhusu umuhimu wa kujiamini, kumuamini Mungu, kuwakarimu wateja, kuweka akiba Akiwa Sambamba na Afisa Mtendaji Mkuu wa Women an Youth  Empowerment Program Kutoka Uganda Dada Remmie Male
Mbunifu  Amina Plummer  ni mmoja katika Picha ya Pamoja na Baadhi ya washiriki wa Semina hiyo inayoandaliwa na Taasisi ya Manjano  Kupitia Bidhaa za Luv Touch Manjano.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shear illusions Ltd  Mama Shekhar Nasser na Mbunifu Amina Plummer  Pamoja Afisa Mtendaji Mkuu wa Women an Youth  Empowerment Program Kutoka Uganda Dada Remmie Male. Katika Picha ya Pamooja na Washiriki wa Semina hiyo..

No comments:

Post a Comment

Pages