
Mmoja wa maofisa kutoka Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL (kushoto) akimwelezea mmoja wa washiriki wa mkutano wa wadau wa sayansi nchini 'The 3rd Sci-GaIA thematic Workshop' uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, mkutano huo umeandaliwa na Taasisi ya Teknonolojia Dar es Salaam (DIT) kwa kushirikiana na European Commission. TTCL imetoa huduma ya intaneti bure kwa wadau wa mkutano huo na kufanya maonesho ya bidhaa na huduma zake mpya mbalimbali.
0 Comments