Mshindi wa pikipiki katika shindanola Shika ndinga la EFM kwa wanawake kutoka wilaya ya Temeke ambaye aliondoka na pikipiki ya Sanmoto katika Viwanja vya Mwembe Yanga jijini Dar es salaam Jumapili.
Kikundi Cha Muziki wa Singeli kikitoa burudani kwa wakazi wa Temeke waliofurika katika Viwanja vya Mwembe Yanga
umati wa watu uliofika katika Viwanja vya mwembe Yanga katika shindano la Shika Ndinga liliandaliwa na EFM Radio
umati wa watu uliofika katika Viwanja vya mwembe Yanga katika shindano la Shika Ndinga liliandaliwa na EFM Radio
Meneja matukio wa Efm Neema akiwavisha washiriki medali maalum za efm waliofika tano bora
Meneja wa EFM radio Ssebo akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi ya pikipiki kwa washindi
Meneja Masoko wa kampuni ya Mosan ya hapa nchini Tanzania,Jakson Stephen akikabidhi pikipiki aina ya Sanmoto kwa washindi Pili Hassna na Abdalah Twaha mara baada ya kuibuka washindi katika shindano la Shika ndinga Wilaya ya Temeke liliandaliwa na EFM
Project Meneja wa kampuni ya Simu za mkononi ya Zantel Tanzania , Salum Madoga akizungumza na wadu waliofika uwanja ni hapo juu ya umuhimu wa kutumia Zantel.
Meneja Masoko wa kampuni ya Mosan ya hapa nchini Tanzania,Jakson Stephen akizungumza juu ya umuhimu wa kutumia pikipiki ya Sanmoto
Mtangazaji wa Kipindi cha Michezo cha EFM Tunu Shenkome akiwa namwenzie wakifatilia shindano hilo
Washiriki wakiwa Wasichana katika shindano la shika Ndinga
Washiriki wavulana wakiwa katika shindano la Shika ndinga
Mshindi kwa wanaume washindano la Sjika ndinga, Abdallah Twaha akiangukia gari mara baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa pikipiki ya Sanmoto
0 Comments