Let's Talk Business / Tuongee Biashara Pekee.

Habari Mpya

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, October 04, 2017

CRDB TAWI LA QUALITY CENTER WAZINDUA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJAMkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza na wateja wa benki hiyo tawi la Quality Center jijini Dar es Salaam, ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani. (Na Mpiga Picha Wetu).

Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementine Kinabo, akizungumza na Wateja wa Benki hiyo ikiwa ni maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika tawi hilo Barabara ya Nyerere jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya NN General Supplies, Selina Letara, akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei,wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika tawi Quality Center.


Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementine Kinabo, akimshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, baada ya kukutana na wateja wa tawi la Quality Center. Meneja wa Wateja wa Mikopo Midogo na ya Kati wa Benki ya CRDB, Mussa Mwinyidaho, akitoa mada.

Meneja Mahusiano Huduma za Biashara, Baraka Eusebio, akitoa mada kuhusu huduma za Biashara.

Ofisa wa Benki ya CRDB Anayehusika na Ubadilishaji Fedha na Masoko ya Mtaji, Olais Tira, akitoa mada kwa wateja wa Benki ya CRDB (hawapo pichani), wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika tawi la Quality Center.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya PMM Estates (2001), Dk. Judith Mhina, akichangia mada katika maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyoandaliwa na Benki ya CRDB tawi la Quality Center.

Ofisa Mikopo wa Benki ya CRDB, Eric Mgonja, akizungumza katika hafla iliyoandaliwa kwa ajili ya wateja wa benki hiyo, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.

Maofisa wa Benki ya CRDB wakiwa wameshika keki maalumu wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika tawi la Quality Center Barabara ya Nyerere Dar es Salaam.

Meneja wa Benki ya CRDB, tawi la Quality Center, Clementine Kinabo (kushoto), akimkabidhi tuzo maalumu, Mhasibu Mkuu wa Kampuni ya Master Mind Tobacco, Joseph Dominic, wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja, iliyofanyika iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya PMM, Dk. Judith Mhina, akipokea tuzo maalumu kutoka kwa Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementine Kinabo (kushoto), wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja.

Keki.

Wateja wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center wakikata keki wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja iliyofanyika katika tawi hilo Barabara ya Nyerere Dar es Salaam.

Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementine Kinabo, akimlisha keki Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya NN General Supplies, Selina Letara.

Wateja wakipata keki.

Kufungua Champagne.

Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center, Clementine Kinabo (katikati), akigonganisha glasi na wateja.

Kunywa kwa afya.

Baadhi ya maofisa wa Benki ya CRDB tawi la Quality Center wakiwa katika picha ya pamoja.

Picha ya pamoja.

Zawadi kwa wateja.

Baadhi ya wateja wakiwa na zawadi zao.

Picha ya pamoja.

Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni ya Easy Connection, Justus Bashara, akiishukuru Benki ya CRDB kwa niaba ya wateja wenzake.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot