Shirika la WE EFFECT Tanzania lazindua program ya miaka mitano






Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Chakula kutoka Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Elimpaa Kiranga akitoa hotuba kwa niaba ya Waziri Dk Charles Tizeba wakati akizindua programu ya miaka mitano ya Shirika la WE EFFECT Tanzania uliofanyika jijini Dar es Salaam Machi 12, 2018. wenye lengo la kukuza maendeleo Vijijini na kuchangia katika kupunguza umasikini kwenye kilimo hapa nchini.

Balozi wa Sweden nchini Tanzania Bi. Katarina Rangnitt akizungumza wakati wa uzinduzi wa programu ya miaka mitano ya Shirika la WE EFFECT uliofanyika jijini Dar es Salaam Machi 12, 2018. wenye lengo la kukuza maendeleo Vijijini na kuchangia katika kupunguza umasikini hapa Tanzania.
Mkurugenzi wa Shirika la WE EFFECT Kanda ya Afrika Mashariki,Bwana. Hans Lind akifafanua jambo wakati wa hafla hiyo ya uzinduzi.
Mwakilishi kutoka Shirika la WE EFFECT Tanzania, Bi. Nasieku Kissambu akielezea utekelezaji kwa makundi mbalimbali kwa wakulima na miradi wakati wa uzinduzi wa programu ya miaka mitano ya Shirika la WE EFFECT Tanzania uliofanyika jijini Dar es Salaam Machi 12, 2018. wenye lengo la kukuza maendeleo Vijijini na kuchangia katika kupunguza umasikini kwenye kilimo hapa nchini.
Moja ya picha inayoonesha kazi zinazofanywa na shirika hilo.
Wadau kutoka sekta mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo.


Mkurugenzi wa programu Shirika la WE EFFECT Tanzania, Bwana. Geerge Onyango akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya uzinduzi.
Picha Ya Pamoja.

Mkurugenzi wa Shirika la WE EFFECT Kanda ya Afrika Mashariki,Bwana. Hans Lind akijadiliana jambo na Balozi wa Sweden nchini Tanzania Bi. Katarina Rangnitt.PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON

No comments:

Post a Comment

Pages