Tukiwa tumebakiza siku moja tu kabla ya THE LEGENDS 2ND ANNIVERSARY kesho
Jumamosi 1/11 ndani ya Isumba Lounge jijini Dar es salam; mimi John
Dillinga na mwenzangu DJ Fast Eddie tunapenda kutoa heshima kubwa na
mwaliko rasmi kwa malejendari hawa pamoja na patners wao hiyo kesho. Kama unamfahamu au uko karibu na yeyote kati ya hawa naomba nisaidie
kufikishia taarifa: John Peter Pantalakis, Ommy jr, DJ Seydou, DJ Paul
master G, DJ Sweet Francis, DJ Gerry kotto, DJ Neagre Jay a.k.a Masoud
Masoud, DJ Young Millionaire a.k.a Jakoub Usungu, DJ Master Funky, DJ Luke
Joe, DJ Joe Johnson.
No comments:
Post a Comment