Let's Talk Business / Tuongee Biashara Pekee.

Habari Mpya

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, February 04, 2015

PRE - VALENTINE DAY OUT YA WAPENDANAO ARUSHA IJUMAA 13.2.2015


Watuwangu wa ARUSHA a.k.a A Town nawajia kwa moyo wa dhati na upendo, Tukutane pale New Arusha Hotel tar 13.2.2015 Ijumaa kuanzia jioni. Nakuta tuzungumze mambo muhimu ya wapendanao na jinsi ya kuboresha mahusiano yetu. Soma details kwenye tangazo hapo juu na kama unaswali usisite kuuliza kupitia namba hizo hapo juu. Hii sio ya kukosa watu wa Arusha. Mwambie na mwenzako

Post Top Ad

Your Ad Spot