Mkuu
wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akiteta jambo na Katibu wa Chama cha
Ushirika wa Maziwa cha Nronga Helen Ainea wakati wa mkutano mkuu wa 28
wa Ushirika huo uliofanyika katika kiwanda cha zamani cha maziwa cha
ushirika huo.
Mkuu
wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akizungumza na wanachama wa chama cha
Ushirika wa Maziwa cha Nronga wakati wa mkutano mkuu wa 28 wa Ushirika
huo.
Baadhi ya wanachama wa Chama cha Ushirika wa Maziwa cha Nronga.
Baba
Mchungaji wa Usharika wa Nronga,Jorome Kimaro akitoa neno wakati wa
ufunguzi wa mkutano wa 28 wa Ushirika wa Maziwa wa Nronga.
Baadhi ya wanachama.
Mwenyekiti
wa Chama cha Ushirika wa Maziwa cha Nronga wilayani Hai,Apansia Lema
akisoma taarifa mbele ya mgeni rasmi katika mkutano wa 28 wa chama
hicho.
Baadhi
ya wanachama wa chama cha Ushirika wa Maziwa cha Nronga wakimpongeza
mgeni rasmi ,mkuu wa wilaya ya Hai,Athony Mtaka mara baada ya kutoa
hotuba yake ikiwa ni pamoja na kushughulikia changamoto zinazoukabili
ushirika huo papo hapo.
Katibu
na Meneja wa Ushirika wa Maziwa wa Nronga,Helen Ainea akimueleza jambo
Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka alipotembelea kiwanda hicho.
Kiwanda cha kwanza cha Ushirika wa Maziwa cha Nronga kilichopo Nronga-Machame wilayani Hai.
Katibu
na Meneja wa Ushirika wa Maziwa wa Nronga,Helen Ainea akimmuonesha Mkuu
wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka maeneo mbalimbali yanayotumika katika
uandaaji wa maziwa katika kiwanda hicho.
Katibu na Meneja wa Ushirika wa Maziwa wa Nronga,Helen Ainea akimueleza
jambo Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka alipotembelea kiwanda hicho.
Mkuu wa wilaya ya Hai,Athony Mtaka akitizama bidhaa ya maziwa katika kiwanda cha Ushirika huo kilichopo Nronga -Machame.
Bidhaa ya Maziwa ya Chama cha Ushirika cha Nronga .
Kiwanda cha Maziwa cha Ushirika wa Maziwa cha Nronga wilayani Hai,
Mkuu wa wilaya ya Hai,Anthony Mtaka akizungumza jambo na Mwandishi wa habari James Paul alipotembelea kiwanda hicho.
DC Mtaka akiangalia mja ya mtambo unaotumika katika uandaji wa Maziwa katika kiwanda cha Ushirika wa Maziwa wa Nronga.
Sehemu ya mitambo hiyo.
Na Dixon Busagaga wa Kanda ya Kaskazini.
0 Comments