FILOMENA BENDI KUWAPAGAWISHA WAKAZI WA JIJI LA ARUSHA NA AVITONGOJI VYAKE USIKU WA VALENTINE DAY


Bendi mpya ya mziki wa dance ijulikanayo kwa jina Filomena music Band ambayo makazi yake ni mkoani Kilimanjaro inatarajia kuwapagawisha wakazi wa jiji la arusha na vitongoji vyake ndani ya usiku wa wapendanao (valentine day).
Powered by Blogger.