Meneja
wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kulia)
akimkabidhi moja ya dawati Mwakilishi wa Afisa Elimu Manispaa ya Temeke,
Salum Upunda (kushoto) ikiwa ni miongoni mwa msaada wa madawati 50 kwa
Shule ya Msingi Majimatitu yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala. Meneja
wa Benki ya NMB Tawi la Mbagala, Muhidin Zaki (kulia) akimkabidhi
Mwalimu Mkuu Shule ya Msingi Majimatitu, Abdul Mgomi (kushoto) moja ya
dawati kati ya madawati 50 yaliyotolewa kama msaada kwa shule ya msingi
Majimatitu. Mwenyekiti
wa Mtaa wa Majimatitu 'A', Saidi Haji Mpetta (kulia) akimkabidhi Mkuu
Shule ya Msingi Majimatitu, Abdul Mgomi (kushoto) dawati moja kati ya
madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala juzi. Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu, Mbagala wakibeba madawati waliyopewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala. Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu, Mbagala wakibeba madawati waliyopewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala. Kikundi
cha kwaya cha Shule ya Msingi Majimatitu kikiwaburudisha wageni
waalikwa katika hafla hiyo ya kukabidhiwa madawati 50 ya msaada kwa
shule hiyo. Wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu wakisoma risala kwa mgeni rasmi katika hafla hiyo. Mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu akikabidhi risala kwa mgeni rasmi katika hafla hiyo. Mwalimu
Mkuu Shule ya Msingi Majimatitu, Abdul Mgomi (aliyeshika kipaza sauti)
akizungumza katika hafla hiyo ya kukabidhiwa madawati 50 ya msaada kwa
shule yake. Meneja
wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (aliyeshika
kipaza sauti) akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kukabidhi msaada wa
madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala. Meneja
wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (aliyeshika
kipaza sauti) akizungumza katika hafla hiyo kabla ya kukabidhi msaada wa
madawati 50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala. Mwenyekiti
wa Mtaa wa Majimatitu 'A', Saidi Haji Mpetta (kulia) akitoa salamu za
shukrani mara baada ya Shule ya Msingi Majimatitu, kukabidhiwa madawati
50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala juzi. Mwenyekiti
wa Mtaa wa Majimatitu 'A', Saidi Haji Mpetta (kulia) akitoa salamu za
shukrani mara baada ya Shule ya Msingi Majimatitu, kukabidhiwa madawati
50 yaliyotolewa na Benki ya NMB Tawi la Mbagala juzi.
Meneja
wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kulia)
akimkabidhi dawati Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Shule ya Msingi
Majimatitu, Jacob Macha (kushoto) katika hafla hiyo.
Kikundi
cha kwaya cha Shule ya Msingi Majimatitu na bendi ya shule katika picha
ya pamoja na wageni rasmi katika hafla hiyo ya kukabidhiwa madawati 50
ya msaada kwa shule hiyo.
Meneja
wa Benki ya NMB Tawi la Mbagala, Muhidin Zaki (kushoto) akimkabidhi
mmoja wa viongozi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Majimatitu, kwa ajili
ya shule yao. Katika hafla hiyo Benki ya NMB ilitoa pia madawati 50 kama
msaada kwa shule ya msingi Majimatitu.
Meneja
wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Vicky Bishubo (kushoto)
akimkabidhi mpira mmoja wa viongozi wa wanafunzi wa Shule ya Msingi
Majimatitu, kwa ajili ya shule yao. Katika hafla hiyo Benki ya NMB
ilitoa pia madawati 50 kama msaada kwa shule ya msingi Majimatitu.
0 Comments