Mshindi wa Kampeni ya Akaunti ya Malengo ya NBC akabidhiwa gari






Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Beni ya NBC, Filbert Mponzi (katikati), akikabidhi funguo ya gari aina ya Toyota Hilux double cabin mpya ya mwaka 2016 kwa Aldo Nsuha mshindi wa kampeni ya akaunti ya malengo ya benki hiyo iliyodumu kawa muda wa miezi mitatu. Kulia ni mke wa mshindi huyo, Zenobia Tarimo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijini Dar es Salaam leo. Wateja wawili wa benki hiyo walishinda zawadi ya gari kila mmoja.

Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Beni ya NBC, Filbert Mponzi (katikati), akikabidhi nyaraka za bima za gari aina ya Toyota Hilux double cabin mpya ya mwaka 2016 kwa Aldo Nsuha mshindi wa kampeni ya akaunti ya Malengo ya benki hiyo iliyodumu kawa muda wa miezi mitatu. Kulia ni mke wa mshindi huyo, Zenobia Tarimo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Beni ya NBC, Filbert Mponzi (katikati), akikabidhi vibao vya namba za gari aina ya Toyota Hilux double cabin mpya ya mwaka 2016 kwa Aldo Nsuha mshindi wa kampeni ya akaunti ya Malengo ya benki hiyo iliyodumu kawa muda wa miezi mitatu. Kulia ni mke wa mshindi huyo, Zenobia Tarimo. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijini Dar es Salaam.

Mshindi wa kampeni ya akaunti ya Malengo ya Benki ya NBC, Aldo Nsuha mkazi wa Tabata, jijini Dar es Salaam akijaribu kuwasha gari lake aina ya Toyota Hilux double cabin mpya ya mwaka 2016 baada ya kukabidhiwa jijini Dar es Salaam leo. Anayemuangalia ni mke wake, Zenobia Tarimo.

No comments:

Post a Comment

Pages