Wafanyakazi wa Airtel wakiitambulisha sokoni ofa ya Hatupimi Bando



Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel, Isaack Nchunda (kulia), akitoa elimu kuhusu ofa mpya ya Hatupimi Bando kwa wafanyabiashara katika Soko la Tandale, wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembelea maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam jana, kuitambulisha huduma hiyo.

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya akitoa elimu kuhusu ofa mpya ya Hatupimi Bando kwa Mfanyabiashara katika Soko la Shekilango Ubungo, Godwin Rwekubya, wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembelea maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam jana, kuitambulisha huduma hiyo.

Meneja Mauzo wa Airtel Kanda ya Dar es Salaam, Robert Sanyagi (kushoto), akitoa elimu kuhusu ofa mpya ya Hatupimi Bando kwa wafanyabiashara katika Soko la Tandale, wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembelea maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam jana, kuitambulisha huduma hiyo.



Mkuu wa Idara ya Ukaguzi wa ndani, Nestory Malewo (kushoto) pamoja na Afisa Uhusiano wa Airtel Bi Jane Matinde pamoja na kwa pamoja wakitoa elimu kuhusu ofa mpya ya Hatupimi Bando kwa wafanyabiashara katika Soko la Tandale, wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembelea maeneo mbalimbali jijini Dar es Salaam jana, kuitambulisha huduma hiyo.

Baadhi ya wafanyakazi wa Airtel wakitembea kwa pamoja kuipeleka ofa ya Hatupimi Bando kwa wateja sokoni

Meneja Mauzo wa Airtel , Frederick Mwakitwange akitoa maelezo kwa wafanyakazi wa Airtel kkabla ya kuingia sokoni kwenda kutembelea wateja sokoni

wafanyakazi wa Airtel katika picha ya pamoja

baadhi ya wafanyakazi wa Airtel wakiongea na wateja wao katika maeneo ya Tiptop mapema leo wakati walipotembelea wateja na kutoa elimu juu ya ofa mpya ya Hatupimi Bando

Meneja Kitengo cha Network, Charles Matinga akitoa elimu juu ya ofa mpya ya Hatupimi Bando kwa mfanyabiashara wa soko la Tandale leo wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembelea wateja wake Sokoni

No comments:

Post a Comment

Pages