Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Dominician Mkama(kushoto)akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 10/- James
Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa
Mwanza,alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa
na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki
ya mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno
Jay au AUTO kwenda 15544.
Mshindi
wa kitita cha Shilingi Milioni 10/- kupitia promosheni ya JayMillions
inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, James Mangu ambaye ni mjasiliamali
mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza,akiwa ameshikilia kitita chake
alichojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na
kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki ya
mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay
au AUTO kwenda 15544.
Meneja
wa Benki ya CRDB tawi la Kenyatta Mwanza, Martin
Rajabu(kulia)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo
pichani)wakati wa kumkabidhi kitita cha shilingi Milioni 10/- James
Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa
Mwanza,alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa
na Vodacom Tanzania,hafla hiyo ilifanyika katika tawi la Benki hiyo
mkoani humo leo anaeshuhudia kushoto ni Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda
ya ziwa Dominician Mkama.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma
neno Jay au AUTO kwenda 15544.
Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda ya ziwa Dominician Mkama(kushoto)akimkabidhi kitita cha shilingi Milioni 10/- James
Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa
Mwanza,alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa
na kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki
ya mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno
Jay au AUTO kwenda 15544.
Mshindi
wa kitita cha Shilingi Milioni 10/- kupitia promosheni ya
JayMillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania, James Mangu ambaye ni
mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa Mwanza,akiwa ameshikilia kitita chake
alichojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa na
kampuni hiyo, wakati wa hafla fupi iliyofanyika katika tawi la Benki ya
mkoani humo leo.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma neno Jay
au AUTO kwenda 15544.
Meneja
wa Benki ya CRDB tawi la Kenyatta Mwanza, Martin
Rajabu(kulia)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo
pichani)wakati wa kumkabidhi kitita cha shilingi Milioni 10/- James
Mangu ambaye ni mjasiliamali mkazi wa Magu mkoa wa
Mwanza,alizojishindia kupitia promosheni ya JayMillions inayoendeshwa
na Vodacom Tanzania,hafla hiyo ilifanyika katika tawi la Benki hiyo
mkoani humo leo anaeshuhudia kushoto ni Mkuu wa Vodacom Tanzania kanda
ya ziwa Dominician Mkama.Ili mteja kujua kama ameshinda anatakiwa kutuma
neno Jay au AUTO kwenda 15544.
MSHINDI WA SHILINGI MILIONI 10 KUPITIA PROMOSHENI YA JAYMILLIONS YA VODACOM AKABIDHIWA KITITA CHAKE.
Mkazi
wa wilaya ya Magu mkoani Mwanza anayejishughulisha na ujasiriamali
James Mangu leo amekabidhiwa kitita cha milioni 10/-alizojishindia
kupitia promosheni ya Jaymillions inayoendeshwa na Vodacom Tanzania
katika hafla iliyofanyika katika tawi la Benki ya CRDB tawi la Mwanza Mama jijini Mwanza.
Mangu
alikabidhiwa fedha zake na Mkuu wa kanda ya ziwa wa Vodacom
Tanzania,Dominick Mkama akiwa na Meneja wa CRDB wa tawi hilo Bw.………mbele
ya waandishi wa habari.
Akiongea
muda mfupi baada ya kupokea fedha zake za ushindi Mangu alisema kuwa
siku ya leo itabaki kwenye kumbumbukumbu za historia kwa kuwa ndoto
aliyokuwa nayo muda mrefu kupanua biashara yake imetimia.“Vodacom
kupitia promosheni hii wamefanya ndoto yangu ya kuwa mfanyabiashara
mkubwa kutimia kwa kutumia shilingi mia tatu tu na kuandika neno JAY
kwenda namba 15544”.Alisema Mangu kwa furaha.James
Mangu amewaomba Watanzania kutambua mchango mkubwa unaofanywa na
Kampuni hiyo nchini katika kujenga na kuimarisha maisha ya Watanzania na
wateja wake kwa ujumla.
"Promosheni
ya Jaymillions naona inalenga kuwakomboa kimaisha watanzania hususani
wenye kipato cha chini hasa wajasiriamali wadogo wadogo kama vile;
wamachinga, mama ntilie, na wazee wastaafu ambapo kwa kiasi kikubwa
wanahitaji msaada ili kujiendeleza kiuchumi na kuinua hali za maisha
yao. Promosheni ya Jaymillions inayoendelea ikiwa katika wiki ya sita
na ambayo itadumu kwa muda wa siku 100 itaendelea kuleta faraja na
mafanikio kwa wateja wa Vodacom kwa kuweza kujinasua katika hali duni ya
maisha na maisha kuwa murua.
Hadi
kufikia leo ni Sh. 134m/- pekee zilizokwisha kuchukuliwa na Uwezo
Madengenya na washindi wengine wawili – Hyness Petro Kanumba kutoka
Rukwa na James Mangu (Mwanza) – wa Sh. 10m/- na milioni 11m/- zimekwenda
kwa – Chiliphod Wanjala (Mwanza), Janeth Nganyange (Njombe), Evarista A
(Mwanza), Stanley Bagashe (Shinyanga), Ramadhani H. Maulid (Dodoma)
na Lucas Masegese (Shinyanga),Ayubu Makonde(Mbeya), Hyasinti
Mlowe(Njombe), Florian Gwayu(Arusha), Modesta Milanzi(Ruvuma), Nobert
Minungu(Dodoma), Busolo Swaleh(Arusha), Claudia Simon Mapunda(Dar es
Salaam) na Gerald Shao (Kilimanjaro)– wa Sh. 1m.
Mkuu
wa kanda ya ziwa wa Vodacom Tanzania Dominick Mkama, akiongea katika
hafla hiyo alimpongeza mshindi huyo na kusema kwamba fedha hizo zimeenda
kwa mshindi sahihi kwani mshindi huyo ana malengo mazuri ya matumizi ya
fedha zake kwa kupanua shughuli zake za biashara kwa ajili ya kuinua
kipato cha familia yake na wananchi wa kanda hii.
Pia
aliwahimiza wateja wote kuchangamkia promosheni ya Jaymillions ili
wajishindie mamilioni ya fedha kwa kuhakikisha wanatuma neno JAY kwenda
namba 15544 ili kutopoteza bahati zao za kushinda.Aliitaja njia
nyingine ya kushinda kuwa ni kutuma neno AUTO kwenda namba 15544 iwapo
simu haina fedha ambapo mteja akiweka fedha anakatwa shilingi 300/-tu.
Kwa
upande wake Meneja wa CRDB Martin Rajabu alimpongeza mshindi na
kumshauri kuwa watampa muongozo bora na ndoto yake ya kuwa
mfanyabiashara mkubwa itatimia na kumsisitiza kutembelea tawi la benki
hiyo wakati wowote kwa ajili ya kupata ushauri jinsi gani ya kukuza
biashara zake kwa kuwa benki hiyo ina huduma mbalimbali za kuwawezesha
wafanyabiashara.Pia aliipongeza Vodacom kwa kubuni promosheni za aina
hii zenye mwelekeo chanya wa kuinua maisha ya wateja wake na wananchi
kwa ujumla.
0 Comments