Let's Talk Business / Tuongee Biashara Pekee.

Habari Mpya

Post Top Ad

Your Ad Spot

Tuesday, March 10, 2015

BENKI YA CRDB YAKABIDHI ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA 'Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’


 Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyu akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei ikiwa kwa ajili ya kumkabidhi rasmi mshindi wa gari aina ya Passo, Tumaini Mwakajwanga aliyejishindia kupitia promosheni ya ‘Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’, 
Tumaini Mwakajwanga akiwa na furaha baada ya kukabidhiwa gari yake aina ya Passo na uongozi wa benki ya CRDB. 
Tumaini akiwa amepozi.
Baadhi ya maofisa wa benki ya CRDB wakiwa katika hafla hiyo.
 Mkurugenzi wa Masoko Utafiti Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akizungumza katika hafla hiyo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla hiyo.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza katika hafla hiyo.
Majeshi Bayinga (kulia) akipokea zawadi yake Solar Panel.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (kushoto) akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari mshindi wa shindano la  ‘Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’, Tumaini Mwakajwanga wakati wa hafla ya kumkabidhi zawadi mshindi huyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam. 
 Mhadhiri wa Chuo Kikuu, Dk. Deogratius Mushi (kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB. Dk. Charles Kimei.
Wakala wa Fahari Huduma, Francisca Joseph (kulia) akipokea zawadi yake.
 Dk. Kimei (kushoto) akiwa na mmoja wa washindi, Francisca Joseph kutoka Kibaha (katikati) kulia ni Kaimu Meneja wa Tawi la Benki CRDB Kibaha, Upendo Mahimbo.
Mshindi akiwa amejishika kichwa kwa kutoamini kilichotokea baada ya kutangazwa mshindi wa gari dogo aina ya Passo.
 Mkurugenzi wa Masoko Utafiti Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (kulia) akiwa amemshika mshindi wa promosheni ya  ‘Tuma Pesa na SimBanking Shinda Passo’, Tumaini Mwakajwanga wakati wa hafla ya kumkabidhi zawadi mshindi huyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa gari akiwa ndani ya usafiri wake.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB. Dk. Charles Kimei akiwa katika picha ya pamoja na washindi pamoja na maofisa wa benki ya CRDB.

Post Top Ad

Your Ad Spot