| Wafanyakazi wa kampuni ya Mafuta ya Panone wakiwa katika picha ya Pamoja na watoto wanao lelewa katika kituo cha Gabriela cha mjini Moshi. |
| Afisa uhusiano wa timu ya soka ya Panone fc Kassmi Mwinyi akitoa zawadi kwa watoto wa kituo hicho. |
| Meneja Masoko wa Kampuni ya Panone Frank Mwaikatale akigawa zawadi ya mikate kwa watoto wanaolelewa katika kituo cha Gabriela cha mjini Moshi. |
| Mlinda mlango wa timu ya Panone fc ya mkoani Kilimanjaro Ben Haule maarufu kama Yaw Berko akigawa zawadi kwa watoto wanao lelewa katika kituo cha Gabriela. |
| Watoto pamoja na walezi wao wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Kampuni ya Panone ya mjini Moshi. |
| Watoto wa Kituo cha Gabriela na wafanyakazi wa kampuni ya Panone wakifurahia zawadi kwa pamojana . |


0 Comments