Let's Talk Business / Tuongee Biashara Pekee.

Habari Mpya

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, October 12, 2015

JK alipoweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa nyumba za NHC huko Rahaleo, mjini Mtwara

 Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akiongea eneo la Rahaleo mjini Mtwara katika sherehe za kuweka jiwe la msingi mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi Oktoba 10, 2015
 Sehemu ya mradi huo
 Sehemu ya mradi 
 Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu akiongea eneo la Rahaleo mjini Mtwara katika sherehe za kuweka jiwe la msingi mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi Oktoba 10, 2015
 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angela Kairuki akimkaribisha Rais Kikwete kuhutubia  eneo la Rahaleo mjini Mtwara katika sherehe za kuweka jiwe la msingi mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi Oktoba 10, 2015
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia  eneo la Rahaleo mjini Mtwara katika sherehe za kuweka jiwe la msingi mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi Oktoba 10, 2015
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia  eneo la Rahaleo mjini Mtwara katika sherehe za kuweka jiwe la msingi mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi Oktoba 10, 2015
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya mradi toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw. Nehemia Mchechu   eneo la Rahaleo mjini Mtwara katika sherehe za kuweka jiwe la msingi mradi wa nyumba wa NHC Jumamosi Oktoba 10, 2015
Uzinduzi wa mradi huo
 Picha ya pamoja na makandarasi wa mradi huo
 Picha ya pamoja na watendaji wa NHC
Picha ya pamoja na wakandarasi wa mradi

Post Top Ad

Your Ad Spot