KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE CHAZINDULIWA NA JK , MTWARA

 Rais Kikwete akikata utepe katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
 Rais Kikwete akifunua pazia katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
 Rais Kikwete akiweka sahihi katika kitabu cha wageni katika sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
 Wataalamu wakiwa kazini katika kiwanda cha Dangote Mtwara
 Rais Kikwete akipata maelezo ya uzalishaji wa saruji kutoka kwa dada Mbumi Mwampeta Mtanzania mwenye umri wa miaka 23 ambaye ni mhandisi wa uzalishaji 
 Rais Kikwete akipata maelezo ya uzalishaji wa saruji kutoka kwa dada Mbumi Mwampeta Mtanzania mwenye umri wa miaka 23 ambaye ni mhandisi wa uzalishaji wakati wa uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
 Rais Kikwete akipata maelezo ya jinsi saruji inavyotengenezwa katika uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
 Rais Kikwete akiondoka kiwandani baada ya  sherehe za uzinduzi wa kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote eneo la Msijute mkoani Mtwara Jumamosi Oktoba 10, 2015
 Sehemu ya kiwanda cha Saruji cha Dangote, Mtwara
 Sehemu ya kiwanda cha Saruji cha Dangote, Mtwara
 Sehemu ya kiwanda cha Saruji cha Dangote, Mtwara
Sehemu ya kiwanda cha Saruji cha Dangote, Mtwara

No comments:

Post a Comment

Pages