|
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
(kulia) akikata keki katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo
jijini Dar es Salaam kuzinduwa wiki ya huduma kwa wateja leo. Kampuni ya
simu ya TTCL imezinduwa wiki ya huduma kwa wateja ambapo inaanzia
Oktoba 12 hadi 16, 2015. |
|
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
akisaini kitabu cha wageni katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo
jijini Dar es Salaam kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa
wateja. Kampuni ya simu ya TTCL leo imezinduwa wiki ya huduma kwa
wateja ambapo inaanzia Oktoba 12 hadi 16, 2015. |
|
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
akisalimiana na mmoja wa wateja waliofika kupata huduma katika tawi la
ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam lililopo Makao Makuu ya
kampuni hiyo, kabla ya kumlisha keki kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya
huduma kwa wateja . |
|
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
(kushoto) akimlisha keki mmoja wa wateja wa kwanza waliofika kupata
huduma katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam
kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo. Kampuni ya
simu ya TTCL imezinduwa wiki ya huduma kwa wateja ambapo inaanzia
Oktoba 12 hadi 16, 2015. |
|
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
(kushoto) akimlisha keki mmoja wa wateja wa kwanza waliofika kupata
huduma katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam
kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo. Kampuni ya
simu ya TTCL imezinduwa wiki ya huduma kwa wateja ambapo inaanzia
Oktoba 12 hadi 16, 2015. |
|
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
(kushoto) akimlisha keki mmoja wa wateja wa kwanza waliofika kupata
huduma katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam
kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja. |
|
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
(kushoto) akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya uzinduzi wa
wiki ya huduma kwa wateja leo jijini Dar es Salaam. Kampuni ya simu ya
TTCL imezinduwa wiki ya huduma kwa wateja ambapo inaanzia Oktoba 12
hadi 16, 2015. |
|
|
|
|
|
|
|
|
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
(kushoto) akizungumza na vyombo vya habari mara baada ya uzinduzi wa
wiki ya huduma kwa wateja leo jijini Dar es Salaam. |
|
Meneja
wa Kanda ya TTCL Dar es Salaam Kati, Jane Mwakalebela (kushoto)
akimlisha keki Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kamugisha Kazaura kwenye
hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja leo. TTCL imezinduwa
wiki ya huduma kwa wateja ambayo inaanza Oktoba 12 hadi 16, 2015. |
|
Ofisa
Mkuu wa Mauzo na Masoko wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota
akifafanua jambo kwa wageni waalikwa kwenye hafla fupi ya uzinduzi wa
wiki ya huduma kwa wateja leo jijini Dar es Salaam. TTCL imezinduwa
wiki ya huduma kwa wateja ambayo inaanza Oktoba 12 hadi 16, 2015. |
|
Hapa ni wakati wa kugonganisha glasi za mvinyo kutakiana afya njema na utendaji bora...! |
|
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
(kulia) akitoa zawadi kwa mmoja wa wateja wa kwanza waliofika kupata
huduma katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es
Salaam kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja. |
|
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
(kulia) akitoa zawadi kwa mmoja wa wateja wa kwanza waliofika kupata
huduma katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo leo jijini Dar es
Salaam kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja. |
|
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
(kulia) akitoa zawadi kwa mmoja wa wateja wa kwanza waliofika kupata
huduma katika moja ya tawi la ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es
Salaam kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja. |
|
Baadhi
ya wateja wa kwanza wa TTCL waliofika kupata huduma leo katika matawi
ya huduma kwa wateja ya jijini Dar es Salaam wakiwa katika picha ya
pamoja na zawadi zao na Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk. Kazaura
(katikati) kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja. |
|
Meneja
wa Kanda ya TTCL Dar es Salaam Kati, Jane Mwakalebela (kushoto)
akimkabidhi zawadi ya utendaji bora Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dk.
Kamugisha Kazaura kwenye hafla ya uzinduzi wa wiki ya huduma kwa wateja. |
Akizungumza
na baadhi ya wateja wa TTCL, maofisa na wafanyakazi jijini Dar es
Salaam Mkuu wa Idara ya Huduma kwa Wateja TTCL, Laibu Leonard alisema
ndani ya maadhimisho hayo maofisa wa TTCL watapita kuwatembelea wateja
ofisini na majumbani kuwasikiliza maoni yao ikiwa ni pamoja na kupata
mrejesho juu ya huduma wanazozitoa. Alisema maofisa waandamizi wa
kampuni hiyo watashiriki moja kwa moja katika zoezi hilo la kutoa huduma
pamoja na kuwatembelea wateja kupata maoni yao na pia kutoa shukrani
kwa wao kukubali kuhudumiwa na kampuni hiyo ya simu ya kizalendo nchini
Tanzania. "...Mbali na kutoa huduma zetu katika matawi mbalimbali katika
kipindi hiki maofisa waandamizi wa TTCL watawatembelea wateja moja kwa
moja katika ofisi zao au majumbani kwa ajili ya kuwasikiliza na pia
kupokea naoni yao," alisema Leonard akizungumza katika hafla hiyo.
Katika uzinduzi wa hafla hiyo TTCL ilitoa zawadi kwa wateja watano wa
mwanzo waliofika katika vituo vya huduma kwa wateja leo asubuhi
kuhudumiwa na kampuni hiyo pamoja na kuwazawadia maofisa wa TTCL
waliofanya vizuri zaidi katika idara ya huduma kwa wateja ya kampuni
hiyo, ikiwa ni motisha ya kuchochea utendaji bora zaidi. *Imeandaliwa na
www.thehabari.com
0 Comments