Let's Talk Business / Tuongee Biashara Pekee.

Habari Mpya

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, April 18, 2016

TEA ILIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WATOTO WENYE USONJIKamishina Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (katikati), akiwasili katika viwanja vya Shule ya Msingi Msimbazi Mseto jijini Dar es Salaam baada ya kushiriki matembezi ya hiari ya kuadhimisha siku ya Watoto wenye Usonji yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.

Kamishina Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kushoto), akipeana mkono na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), mara baada ya kushiriki matembezi ya hiari ya kuadhimisha siku ya watoto wenye usonji yaliyofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia Watu Wenye Usonji Tanzania (NAPAT), Dk. Stella Rwezaula.

Baadhi ya watu waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Watoto wenye Usonji.

Wazazi waliohudhuria maadhimisho ya Siku ya Watoto wenye Usonji.

Baadhi ya wanachama wa Lions Club of Dar es Salaam Mzizima ambao walikuwa wadhamini wa maadhimisho hayo.

Baadhi ya watu waliohudhuria maadhimisho hayo.

Mwenyekiti wa Chama cha Kuhudumia Watu Wenye Usonji Tanzania (NAPAT), Dk. Stella Rwezaula akizugumza katika maadhimisho hayo.

Rais wa Lions Club of Dar es Salaam Mzizima akizungumza katika maadhimisho hayo.

Watu waliohudhuria maadhimisho hayo wakipata viburudisho.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Joel Laurent akizungumza wakati wa matembezi ya hiari ya kuadhimisha siku ya watoto wenye Usonji.

Kamishina Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kushoto), akizungumza wakati wa matembezi ya hiari ya kuadhimisha siku ya watoto wenye usonji yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Kamishina Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Beatrice Fungamo (kushoto), akimkabidhi cheti cha shukrani Rais wa Lions Club of Dar es Salaam Mzizima kwa kufanikisha maadhimisho hayo.

Post Top Ad

Your Ad Spot