Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kitengo cha mauzo
(katikati) wakiwahudumia wateja kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi
ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa
ya kuonesha baadhi ya bidhaa zao. Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi
unafanyika kwa siku mbili katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es
Salaam.
Mmoja wa maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL (kushoto) akitoa
ufafanuzi kwa baadhi ya wateja juu ya bidhaa za TTCL kwenye maonesho ya
bidhaa na huduma mbalimbali zinazotolewa na shirika hilo. Kampuni ya
TTCL imepeleka bidhaa zao na huduma kuwaonesha wakandarasi.
Baadhi ya wakandarasi wakitembelea mabanda anuai kwenye Mkutano Mkuu wa
14 wa Wahandisi ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL
zilipata fursa ya kuonesha baadhi ya bidhaa zao.

Baadhi ya wakandarasi wakipata huduma mbalimbali zinazotolewa na
Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi
ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa
ya kuonesha baadhi ya bidhaa zao.
Baadhi ya wakandarasi wakipata huduma mbalimbali zinazotolewa na
Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi
ambapo mbali na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa
ya kuonesha baadhi ya bidhaa zao.
Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kitengo cha mauzo
wakiwahudumia wateja kwenye Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi ambapo mbali
na mkutano huo kampuni kadhaa ikiwemo TTCL zilipata fursa ya kuonesha
baadhi ya bidhaa zao. Mkutano Mkuu wa 14 wa Wahandisi unafanyika kwa
siku mbili katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL (kulia) akitoa
huduma kwa baadhi ya wateja juu ya bidhaa za TTCL kwenye maonesho ya
bidhaa na huduma mbalimbali zinazotolewa na shirika hilo. Kampuni ya
TTCL imepeleka bidhaa zao na huduma kuwaonesha wakandarasi.
Mmoja wa maofisa wa Kampuni ya Simu Tanzania, TTCL (kulia) akitoa
ufafanuzi kwa baadhi ya wateja juu ya bidhaa za TTCL kwenye maonesho ya
bidhaa na huduma mbalimbali zinazotolewa na shirika hilo. Kampuni ya
TTCL imepeleka bidhaa zao na huduma kuwaonesha wakandarasi.
TTCL washiriki maoneshoMkutano 14 wa wahandisi Mlimani City Dar.
Teknolojia
Labels:
Biashara,
Maendeleo,
Matukio,
Teknolojia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment