Kampuni ya Aggrey & Clifford yashinda tuzo ya Dhahabu kupitia Vodacom



Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC,Ian Ferrao(katikati) akikabidhiwa na Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid Tenga,Tuzo ya kimataifa ya dhahabu kutoka Spike Asia Festival of Creativity 2017 nchini Singapore iliyotokana na tangazo lililotengenezwa na kampuni hiyo kwa niaba ya Vodacom kuhusiana na kampeni ya kuuza sehemu ya hisa za kampuni hiyo kwa Umma,Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika jijini Dar es Salaam,Anaeshuhudia kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia.

Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia(kushoto)na Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid Tenga,wakimshuhudia Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC,Ian Ferrao,akiwaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani) Tuzo ya kimataifa ya dhahabu kutoka Spike Asia Festival of Creativity 2017 nchini Singapore iliyotokana na tangazo lililotengenezwa na kampuni ya Aggrey & Clifford kwa niaba ya kampuni hiyo kuhusiana na kampeni ya kuuza sehemu ya hisa za kampuni hiyo kwa Umma,Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia na Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo,Ian Ferrao,wakimsikiliza kwa makini Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid Tenga,alipokuwa akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla ya kukabidhi Tuzo ya kimataifa ya dhahabu kutoka Spike Asia Festival of Creativity 2017 nchini Singapore iliyotokana na tangazo lililotengenezwa na kampuni ya Aggrey & Clifford kwa niaba ya Vodacom kuhusiana na kampeni ya kuuza sehemu ya hisa za kampuni hiyo kwa Umma,Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao(katikati)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na Tuzo ya kimataifa ya dhahabu kutoka Spike Asia Festival of Creativity 2017 nchini Singapore iliyotokana na tangazo la kuuza sehemu ya hisa za kampuni hiyo kwa Umma lililotengenezwa na kampuni ya Aggrey & Clifford,Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika jijini Dar es Salaam,Wanaoshuhudia kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni hiyo,Rosalynn Mworia na Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid Tenga.

Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia(kushoto)akifafanua jambo kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)wakati wa hafla ya kukabidhiwa Tuzo ya kimataifa ya dhahabu kutoka Spike Asia Festival of Creativity 2017 nchini Singapore iliyotokana na tangazo la kuuza sehemu ya hisa za kampuni hiyo kwa Umma,Tangazo hilo lililotengenezwa na kampuni ya Aggrey & Clifford,Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika jijini Dar es Salaam,Katikati Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo,Ian Ferrao na Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid Tenga.

Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Rosalynn Mworia(katikati)akiwaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani) Tuzo ya kimataifa ya dhahabu kutoka Spike Asia Festival of Creativity 2017 nchini Singapore iliyotokana na tangazo la kuuza sehemu ya hisa za kampuni hiyo kwa Umma,Tangazo hilo lililotengenezwa na kampuni ya Aggrey & Clifford,Hafla ya tuzo hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam,Kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo,Ian Ferrao na Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid Tenga.

Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao(wanne kushoto)na Afisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Aggrey & Clifford,Rashid Tenga(watano kushoto)wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wao wakati wa hafla ya kukabidhiwa Tuzo ya kimataifa ya dhahabu kutoka Spike Asia Festival of Creativity 2017 nchini Singapore iliyotokana na tangazo la kuuza sehemu ya hisa za kampuni hiyo kwa Umma,Tangazo hilo lililotengenezwa na kampuni ya Aggrey & Clifford,Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Pages