BENKI ya DCB benki yakabdhi madawa 100 katika shule ya Msingi Kimara B iliyopo wilaya Mpya ya Ubungo jijini Dar es Salaam leo.
Makabidhiano hayo yamefanyika kati ya Meneja wa Mikakati na
Ubunifu wa DCB Banki, Samwel Dyamo na mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya
Ubungo na baadae Mkuu wa Shule ya Msingi Kimara B jijini Dar es Salaam.
DCB banki ikiwa ni awamu ya mwisho ya ugawaji wa madawati katika wilaya tatu za jijini la Dar es Salaam.
Katibu
Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo akikata utepe kuashiria
uzindunzi wa madawati hayo katika hafla fupi ya kukabidhi madawati
yaliyotolewa na benki ya DCB katika shule ya Msingi, Kimara B. Kulia ni Meneja wa Mikakati na Ubunifu wa DCB Banki, Samwel Dyamo.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo na Meneja wa Mikakati na Ubunifu wa DCB Banki, Samwel Dyamo wakipongeza uzinduzi wa madawati katika shule ya msingi Kimara B leo.
Meneja wa Mikakati na Ubunifu wa DCB Banki, Samwel Dyamo akimkabidhi Katibu
Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo madawati ya kwaajili ya
kukabidhi madawati ya Shule ya Msingi Kimara B leo jijini Dar es
Salaam.
Katibu
Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo akimkabidhi madawati Mkuu wa
shule ya Msingi Kimara B, Zuxine Mponda jijini Dar es Salaam leo.
Meneja
wa Mikakati na Ubunifu wa DCB Banki, Samwel Dyamo akizungumza na
wanafunzi pamoja na viongozi malimbali wa kamati ya shule na waalimu wa
shule ya Msingi Kimara B jijini Dar es Salaam leo. Amesema kuwa madawati
waliopewa wayatunze kwani ni mchango wa baadhi ya michango ya wananchi
wanaotumia benki hiyo.
Katibu
Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo akizungumza na kuwashukuru
Benki ya DCB kwa mchango wao kwani itasaidia kukuza Elimu hapa nchini.
Mkuu
wa shule ya Msingi Kimara B, Zuxine Mponda akizungumza na kuwashukuru
wafanyakazi wa Benki ya DCB kwa kutoa mchango wao katika elimu. Amesema
kuwa benki hiyo wameona wapeleke mchango wao katika shule hiyo.
Meza kuu katika hafla ya kukabidhi madawati katika shule ya msingi Kimara B.
Walimu wa Dhule ya Msingi Kimara B wakiwa katika Hafla ya kukabidhiwa madawati katika shule yao.
Wanafunzi wa shule ya Msingi Kimara B wakitumbuiza katika hafla fupi ya kukabidhiwa msaada wa madawati.
Wanafunzi wakifurahia jambo.
Katibu
Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo wakiwa katika picha ya pamoja
na mwanafunzi wa shule ya msingi Kimara mara baada ya kikabidhi madawati
yaliyotolewa na Benki ya DCB.
Katibu Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo na Mkuu
wa shule ya Msingi Kimara B, Zuxine Mponda wakiwa katika picha ya
pamoja mara baada ya kukabidhiwa madawati katika shule ya Msingi Kimara B
jijini Dar es Salaam leo.
Katibu
Tawala wa Wilaya ya Ubungo, James Mkumbo akiwa katika picha ya pamoja
na waalimu wa shule ya msingi Kimara B jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti
wa Kamati ya Shule, Johnson Mushi akizungumza mara baada ya
kukabidhiwa madawati katika shule ya Msingi Kimara B jijini Dar es
Salaam leo.
Wafanyakazi
wa Benki ya DCB wakiwa katika pich ya pamoja na viongozi wa shule
pamoja na walimu wa shule ya msiki Kimara B jijini Dar es Salaam leo.
0 Comments