Let's Talk Business / Tuongee Biashara Pekee.

Habari Mpya

Post Top Ad

Your Ad Spot

Wednesday, August 17, 2016

MRS LUCY GOES TO AFRICA PREMIERS WITH A BANG IN DAR ES SALAAMWapenzi wa michezo ya kuigiza wakisubiri pazia lifunguke mchezo uanze
Mona Lisa katika taswira ya ufunguzi wa igizo hilo
Mona Lisa na "mumewe" 

Nyumbani kwa Mona Lisa na mumewe
Kaka na dada wa nyumba ya Mona Lisa wakifanya yao jikoni
Mrs Lucy anawasili uwanja wa ndege na kushangaa kujikuta Afrika
Mrs Lucy anaanzisha rabsha uwanja wa ndege, mhudumu wa hapo anasogea kumpa msaada
Mrs Lucy haamini kuwa yupo Afrika
Juhudi za kumtuliza hazizai matunda mara moja
Natasha, mwenyeji wa Mrs Lucy anatokea
Mrs Lucy haachi vituko hata wakati wa kula

Sehemu ya umati
Mrs Lucy kapelekwa sokoni Kariakoo
Mrs Lucy na mtoto wa mwenyeji wake wakiwa sokoni
Ngoma za utamaduni zilirindima wakati wa kubadili mtazamo wa jukwaa
Natasha akipozwa na "mkwewe" wakati yu mahututi hospitali
Kaka anamtembelea Natasha
Mrs Lucy akimfariji mwenyeji wake Natasha ambaye ana muda nfupi wa kuishi kutokana na kuugua saratani
Sehemu ya tamati ya igizo ni mshangao kwa kila mtu
Waigizaji wa mchezo wanafunga pazia


Nyota wa igizo na Muigizaji/Mtunzi na Mkurugenzi mtendaji wa TDE Lady Toussaint Duchess Campbell (Lady T) akitoa shukurani zake kwa wote

Post Top Ad

Your Ad Spot