Let's Talk Business / Tuongee Biashara Pekee.

Habari Mpya

Post Top Ad

Your Ad Spot

Monday, September 18, 2017

MGODI WA ACACIA BULYANHULU WA WAAGA WAFANYAKAZI WAKELango kuu la kuingilia kwenye Sherehe.

Kushoto ni Meneja Ufanisi na Mahusiano BMGL Elias Kasitila (katikati) ni Meneja Mkuu Mahusiano Serikalini Asa Mwaipopo na Meneja Mkuu BGML Graham Crew wakizungumza na waandishi wa habari juu ya hatua ya kuwaaga wafanyakazi na kupunguza baadhi ya shughuli ambazo zilikuwa zikifanyika mgodini Hapo.

Baadhi ya waandishi wa habari wakiendelea na majukumu yao wakati ya kikao na uongozi wa mgodi huo.

Baadhi ya wafanyakazi wakifuatilia shughuli ya sherehe ya kuagwa.

Wafanyakazi wa BGML pamoja na viongozi na Meneja Mkuu wa mgodi Graham Crew wakikata keki kwa pamoja kuashiria mshikamano na umoja.

Meneja Mkuu wa mgodi wa BMGL Graham Crew Akizungumza na wafanyakazi pamoja na kuwaaga wakati wa sherehe.

Wafanyakazi wakimsikiliza Meneja Mkuu wakati alipokuwa akiwaaga.

Msanii Mrisho Mpoto Akitumbuhiza pamoja na Bendi yake wakati wa sherehe za kuwaaga wafanyakazi wa Mgodi huo.
Baadhi ya wasanii wa kundi hilo wakiwa kwenye shughuli hiyo .
Msanii Ismail akiwaburudisha wafanyakazi kwa Wimbo wa Songa songa mbele usirudi Nyuma.

Post Top Ad

Your Ad Spot